Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzikwa Jumapili Desemba 28, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jjana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Desemba 29, 2014. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment