Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh,
baada ya mazungumzo yao alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda
wake wa kazi nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014
kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe.
Jack Zoka, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 alipofika
kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza
kazi rasmi nchini Canada.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe.
Djelloul Tabel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 alipofika
kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment