Mfuko wa Jamii :NHIF Yanyakua Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 6 December 2014

Mfuko wa Jamii :NHIF Yanyakua Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika


Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umenyakua tuzo tatu za ubunifu katika sekta ya hifadhi ya Jamii Barani Afrika zinazosimamiwa na Shirikisho la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA). Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria. Kwa Maelezo zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment