Matukio : Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda Azungumza na Vijana wa Mlele, Katavi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 26 December 2014

Matukio : Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda Azungumza na Vijana wa Mlele, Katavi


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na vijana kutoka kata za Kibaoni na Usevya wilayani Mlele mkoani Katavi waliomtembelea nyumbani kwake Kibaoni leo akiwa kwenye mapumziko na Krismas na Mwaka mpya. Katikati mwenye miwani ni Mzee Chrisant Mzindakaya. Picha na PMO

No comments:

Post a Comment