Matukio (Picha) : Diamond Platnumz apokelewa Kwa Shangwe Kubwa Jijini Dar ,Baada ya Kutwaa Tuzo 3 za Channel O, Nchini Afrika Kusini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 3 December 2014

Matukio (Picha) : Diamond Platnumz apokelewa Kwa Shangwe Kubwa Jijini Dar ,Baada ya Kutwaa Tuzo 3 za Channel O, Nchini Afrika Kusini




Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.




Tuzo jamani ndo hii hapa sasa......





Akizungumza na Vyombo vya habari








Shangwe .......shangwe.....shangwe....

Vicheko vya hapa na pale...










Weweee Sukari ya Warembo....


Tuzo hiyoooo

Jicho la 3...







No comments:

Post a Comment