Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa
Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele Mkoani Katavi
kwenye shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014.
Wajumbe
wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele,mkoani
Katavi wakimsikiliza Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda wakati alipofungua
mkutano wao katika Shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimia na baadhi ya wajumbe wa Baraza
la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati
alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa
Baraza hilo Desemba 28, 2014.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akijumuika na wajumbe wa Mkutano wa Baraza
la Wanawake la Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye
shule ya sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo, Desemba 28,
2014. (Pichana Ofisi ya WaziriMkuu)
No comments:
Post a Comment