Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam
Disemba 02, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya
kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa
Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 12, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali
(CAG) Profesa Musa Juma Assad nyaraka baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Disemba 02, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye
nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 02, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne
makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es
salaam leo Disemba 02, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi
wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 02, 2014
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es
salaam Disemba 12, 2014. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment