Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwahutubia waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya
uzinduzi wa Helkopta itakayotumiwa na Mchungaji huyo katika kazi zake za
kiroho,hafla hiyo imefanyika kwenye viwanja vya Kawe,Jijini Dar es
Salaam.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akijadiliana jambo na baadhi ya wachungaji waliohudhulia kwenye hafla
hiyo.

wakielekea kwenye uzinduzi rasmi wa Helkopta.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Helkopta ya Mchungaji Josephat Gwajima
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (kulia kwa Mh. Lowassa).

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Mtoto wa Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima.

Helkopta iliyozinduliwa ikipaa kuondoka uwanjani hapo na baadae kurudu mara baada ya kuzinduliwa na Mh. Lowassa.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akimsikiliza kwa makini Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima wakati akimuelezea kuhusu vitabu vyake alivyoviandika kabla ya
kuvizindua rasmi.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe kwenye vitabu viliyoandikwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima (kushoto)

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akionyesha moja ya vitabu viliyoandikwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima (kushoto) wakati alipovizindua rasmi .

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam. Picha na Othman Michuzi
No comments:
Post a Comment