
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa
Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya
siku yake ya kuzaliwa Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais
Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ,akiwa ametimiza miaka 64
toka kuzaliwa kwake.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangaliwa maendeleo ya ujenzi wa Daraja
Kigamboni jijini Dar es Saalam,wakati alipotembelea kuona maendeleo
yake.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alieambatana na Waziri wa Ujenzi,Dkt. John
Magufuli,Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick wakitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi
wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.ujenzi huo unafanywa na
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).





No comments:
Post a Comment