MFUKO WA JAMII : JK AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA HOTELI YA PPF MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 October 2014

MFUKO WA JAMII : JK AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA HOTELI YA PPF MWANZA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo la kitega uchumi la hoteli linalomilikiwa na Mfuko wa PPF jijini Mwanza.
Mamia ya wakazi wa Mwanza wafurika katika hafla ya ufunguzi wa jengo la kitega uchumi la hoteli ya PPF Mwanza.
Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF. Pamoja nao ni Waziri wa Ujenzi Mhe. John Magufuli, Naibu wa Waziri wa Fedha Mhe. Adam Malima, na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo.

Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa PPF .
Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Ndg. Meshack Bandawe Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa na Mratibu wa hafla ya ufunguzi wa jengo la kitega uchumi la hoteli ya PPF Mwanza.

No comments:

Post a Comment