MATUKIO : MWILI WA MAREHEMU DKT. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI, KUTOKA LONDON - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 12 October 2014

MATUKIO : MWILI WA MAREHEMU DKT. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI, KUTOKA LONDON

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.

 Waombolezaji
  Waombolezaji na wafiwa
 Watoto wakiwa wenye huzuni
 Huzuni
Mjane wa marehemu Bi  Getrude Shija mara akiwa na waombolezaji nyumbani Kibamba
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
 Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ulipelekwa nyumbani kwa marehemu, Kibamba. (Picha na Prosper Minja - Bunge)

 Askari wa Bunge wakiwa wameubeba mwili wa marahemu Dkt Shija
  Jeneza lenye mwili wa mareheu Dkt Shija, ambapo baada ya kuwasili na kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo mawaziri, wabunge pamoja na Katibu wa Bunge, mwili huo ukiwasili  nyumbani kwa marehemu, Kibamba jijini Dar es salaam.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.
 Nyumbani kwa marehemu Kibamba. Picha zote na Prosper Minja - Bunge

No comments:

Post a Comment