NISHATI YETU :WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 25 September 2014

demo-image

NISHATI YETU :WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI

0
 Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto). 
5
 Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala.
6
 Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala.
7
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na Meneja Miradi Emmanuel Marirabona.
9
 Waandishi wakiwa katika kituo cha Umeme Gongolamboto.
10
 Transfoma ya inayowekwa Gongolamboto.
11
 Mashine ikisafisha mafuta ya transfoma yaliyopo katika mapipa.
12
 Mafuta ya transfoma
17
 Jengo la Utawala likiendelea kujengwa kituo cha Kinyerezi.
18
 Waandishi wakipewa maelezo na Meneja Miradi -ufuaji umeme,mhandisi Simon Jilima (katikati)
19
 tenki litakalowekwa maji ya kuzimia moto endapo utaleta taabu Kinyerezi.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *