Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh Mh Jowika Kasunga akifunga Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni Wa PPF uliomalizika, Jijini Arusha
Prof.
Bakari Lembariti kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitoa mada juu
ya Tatizo la Meno wakati wa Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko
wa Pensheni wa PPF uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC,
Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akijibu Maswali ya
Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa Mkutano wa 24
wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaotarajiwa
kumalizika leo katika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,
jijini Arusha.
Dkt
John Kisimbi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitoa Mada juu ya
matatizo ya Jicho katika mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa AICC, Jijini Arusha.
Wanachama
na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakimpigia makofi mmoja wa watoa
Mada katika Mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,
Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maswala ya Ukimwi kwa Kikundi cha Wabunge, Bi. Lediana
Mng'ong'o, akitoa mada wakati wa Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF uliomalizika Leo Jijini Arusha.
Wadau
na wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakifuatilia Mada katika
Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa PPF uliomalizika leo Jijini
Arusha.
Meza
kuu akifuatilia mada zilizokuwa zikionyeshwa katika Runinga kubwa (haipo
pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF uliomalizika leo jijini Arusha katika Ukumbi wa
Mikutano wa AICC.
Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia Mada katika
Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
uliomalizika leo Jijini Arusha. Wa Kwanza Kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Kigamboni Faustine Ndugulile na Nyuma yake ni Mbunge wa Arumeru
Mashariki Mh Joshua Nassari.
Wadau
na wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakifuatilia mada katika
Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
uliomalizika leo Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akimkaribisha Mgeni
rasmi ambae pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh Jowika Kasunga
(hayupo pichani)
Picha Zote Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog, Arusha
No comments:
Post a Comment