Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni wa PPF,William Erio akijibu sehemu ya maswali yaliyouliwa
na Wanachana na Wadau wa PPF kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama
na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa AICC,Jijini Arusha.Picha Zote na Othman Michuzi,Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano
wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye
ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha pili cha Mkutano
wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza
kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja
azungumza jambo wakati akiongoza Mkutano huo wa Mwaka wa Wanachama na
Wadau wa Mfuko wa PPF unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha tatu cha Mkutano
wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza
kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Martin Mmari akionyesha moja ya
kabrasha la ripoti ya Mwaka ya Mfuko huo wakati akiwasilisha taarifa ya
fedha kwa mwaka wa 2013 katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Martin Mmari akiwasilisha taarifa
ya fedha kwa mwaka wa 2013 katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Assumpta Maina Mallya
akiwasilisha mada yake iliyokuwa ikielezea namna mfuko wa Pensheni wa
PPF unavyofanya kazi zake Wakati wa Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijadiliana jambo na Mjumbe wa Bodi ya PPF,Bi. Adeligunda Mgaya.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio,Mjumbe wa Bodi ya PPF,Bi. Adeligunda Mgaya na Mwenyekiti wa Bodi,Alhaj Ramadhan Khijja wakipitia makabrasha.
No comments:
Post a Comment