ELIMU YETU :RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. ALI MOHAMED SHEIN MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday, 29 September 2014

ELIMU YETU :RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. ALI MOHAMED SHEIN MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman (katkati) wakisimama wakati wimbo wa taifa ukipigwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja,(kushoto) Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.Mohamed Saleh Jidawi.

Walimu Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA wakiwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Waalikwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.

Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipokuwa akitoa salama zake wakati wa Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika  katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Yassin Khamis Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Yussuf Said Ahmed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Yussuf Said Ahmed baada ya kukutunukiwa shahada ya Udaktari wakati wa Mahfali ya kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Zena Kassim Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa Fatma Mrisho Haji akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliopata zawadi katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment