Hotuba ikiendelea

Mwenyekiti
wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah akimpongeza
Rais Kikwete kwa hotuba nzuri ya ufunguzi wa mkutano huo

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimpongeza Rais Kikwete kwa hotuba murua

Mratibu
wa Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Suzan Mzee akitoa maelezo.
Pembeni yake ni Bw. Constantine Magavillah, mmoja wa wajumbe wa kamati
ya maandalizi

Rais Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi tovuti ya Diaspora http://www.tanzaniadiaspora.org/

Vifijo baada ya uzinduzi wa tovuti hiyo ya http://www.tanzaniadiaspora.org/

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya
kumbukumbu na kamati ya maandalizi ya mkutano huo

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya
kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka nchi za Ulaya

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya
kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka nchi za Asia

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya
kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka Uingereza

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya
kumbukumbu na Wana-Disapora kutoka nchi za Afrika

Rais
Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora
Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo na Bw. Damien Thereaux,
mkuu wa taasisi inayoshughulikia wakimbizi ya International Organisation
for Migration (IOM) katika picha ya kumbukumbu baada ya ufunguzi wa
mkutano huo

Rais Kikwete akiagana na Wana-Diaspora baada ya kufungua mkutano wao

Rais Kikwete akisalimiana na Mwakilishi wa Diaspora katika Bunge la Katiba Bw. Kadari Singo

Rais Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania China

Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora kutoka Uingereza

Rais Kikwete akiongea na Wana Disapora

Rais Kikwete akipata selfie na Mwana Diaspora

Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora Ali Muhidin kutoka Uingereza

Wana-Diaspora wakiendelea kumsalimia Rais Kikwete

Rais Kikwete akipeana mikono na Mariam Kilumanga, Mwana Diaspora kutoka Uingereza

Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora na msanii Francia Chengula kutoka Reading, Uingereza

Rais Kikwete akiaganba na Wana-Disapora

Wana-Diaspora
to Uingereza Francia Chengula, Mariam Mungula na Mariam Kilumanga
wakionesha kufurahishwa na mkutano huo wa kwanza wa aina yake hapa
nchini

Rais Kikwete akisalimiana na mwanakamati Constantine Magavillah

Rais Kikwete akiagana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu.

Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora Amos Msanjila

Rais Kikwete akisalimiana na Bi Angela Msangi wa TBC

No comments:
Post a Comment