Mwenyekiti
mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert
Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti wa
Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya Juu ya Taifa la Zimbabwe
ya Nishani ya Royal Order Of Mwanamutapa kwa kutambua mchango wake
katika ukombozi wa Taifa la Zimbabwe na nchi nyingine kusini mwa
Afrika.Rais Mugabe alikabidhi tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa
mkutano wa 34 wa wakuu wa SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa
Victoria Falls, nchini Zimbabwe. Picha na Freddy Maro
MERIDIANBET YAPIGA HODI MTAANI KUWASHIKA MKONO WAPAMBANAJI
-
MITAA iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya
Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi
Meri...
42 minutes ago
No comments:
Post a Comment