ELIMU YA JUU :UZINDUZI WA SHAHADA YA KWANZA NCHINI YA UTAWALA NA DEMOKRASIA(GOVERNANCE AND DEVELOPMENT)CHUO CHA MS TCDC ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 23 August 2014

ELIMU YA JUU :UZINDUZI WA SHAHADA YA KWANZA NCHINI YA UTAWALA NA DEMOKRASIA(GOVERNANCE AND DEVELOPMENT)CHUO CHA MS TCDC ARUSHA


Meneja Mafunzo wa MS TCDC,Dk Elinami Swai akisisitiza jambo

Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari

Baadhi ya wafanyakazi wa MS TCDC, wakibadilishana mawazo

Burudani haikuwa nyuma

Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.


Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akisalimiana na Profesa Eric kutoka Denmark,katikati  ni Mkuu wa MS TCDC,Dk Suma Kaare

Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali,wageni waalikwa na wanafunzi wapya.

No comments:

Post a Comment