AJALI MBAYA ARUSHA : WATU 2 WAMEFARIKI BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA NA TOYOTA HIACE , USA-RIVER ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 2 August 2014

AJALI MBAYA ARUSHA : WATU 2 WAMEFARIKI BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA NA TOYOTA HIACE , USA-RIVER ARUSHA

Watu wawili wamefariki papo hapo na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa baaada ya Basi la Hood lilikuwa linakwenda Mbeya Kugongana uso kwa uso na Basi dogo aina ya Toyota Hiace , Maeneo ya Kilala, Usa-river Arusha.

Basi dogo lilikuwa linatoka Usa- river kwenda Mjini Arusha na Basi la Hood lilikuwa linakwenda Mbeya.

Kamanda wa Polisi wa Arusha. Bw. Liberatus Sabas amewataja waliopoteza maisha ni Dereva wa Hiace aliyefahamika kwa jina la Jumanne Mohamed na Abiria Mmoja (anaret), majeruhi wamepelekwa hospitali za Tengeru na Mt. Meru Arusha.

No comments:

Post a Comment