AFRIKA MASHARIKI :MHE. BALOZI BATILDA S. BURIAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAASISI YA “SHELTER AFRIQUE”, NAIROBI. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 20 August 2014

AFRIKA MASHARIKI :MHE. BALOZI BATILDA S. BURIAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAASISI YA “SHELTER AFRIQUE”, NAIROBI.


Kutoka kulia ni Mhe. Balozi Dr. Batilda S. Burian akifanya mazungumzo ofisini kwake na Mkurugenzi Mkuu Mpya wa taasisi ya Shelter Afrique Bw. James Mugerwa(Katikati) ambaye aliambatana na afisa wake Bw. Vipya Harawa(Kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa masuala ya ushirikiano katika taasisi hiyo. Kwa maelezo zaidi bofya hapa>>>

No comments:

Post a Comment