Rais
Dr. Jakaya Kikwete akipata taarifa ya mradi huo wa nyumba za gharama
nafuu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw David
Shambwe
Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama
nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg.
David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji
Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea
mkoani Ruvuma akiwa katika ziara yake ya kikazi , Rais Dr. Jakaya
Kikwete anaendelea na ziara mkoani humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Profesa Anna Tibaijuka akizungumza katika hafla hiyo mchana huu
Akiwasalimia wananchi waliofika kushuhudia
No comments:
Post a Comment