Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na
Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons.
Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize
makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa
kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Serengeti: Untamed.
-
VAST. RELENTLESS. ALIVE.
Forget everything you know about time.
Witness the relentless thunder of the Great Migration. Track the ancient
...
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
No comments:
Post a Comment