Mh. Lowassa akiwapungua mkono Waumini wakati alipokuwa akitambulishwa.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa wakati wa Sherehe za Jubilei ya
Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius
Ngalalekumtwa,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini
Mjini Iringa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono kwa kuwasalimia waumini waliofika kwenye Sherehe za
Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la
Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa,iliyofanyika Julai 01,2014
kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.
Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa akiongoza ibada maalum ya Jubilei hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius
Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika
Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu
Severini Niwemugizi wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu
Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa,,iliyofanyika
Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Askofu Mkuu
wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya
Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu
la Katolini Mjini Iringa.
Askofu
Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa akiwa na
wasaidizi wake wakati wa Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu
wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini
Iringa.
Makamu
wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini Niwemugizi
akizungumza katika sherehe hizo,wakati alipokuwa akitoa salamu za Baraza
hilo kwa Serikali.
No comments:
Post a Comment