
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na
wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam
Kamishna Suleiman Kova

Rais Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakijumuika na waumini wengine katika Swala ya Magharibi katika makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda Oysterbay jijini Dar es salaam alikoandaa Futari leo Jumamosi Julai 26, 2013

Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiongea na baadhi ya waalikwa kwenye futari
aliyoandaa, wakiwemo waigizaji Mpoki wa Ze Komedy, Stephen JB, na
watangazaji wa redio

Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji
Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam Ndg Ramadhani Madabida wakipakua futari

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akijumuika na waalikwa wengine kupakua futari

Mawaziri
wakuu Wastaafu Mzee Cleopa Msuya na Jaji Joseph Sinde Warioba wakiwa
wameketi pamoja na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu (kulia,
mwenye baraghashia) na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova (kushoto) akiwa na viongozi wa dini Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar, Lusekelo Antony ' Mzee wa Upako' (wa pili kushoto), Rais wa shirika la kidini la Wapo Mission International Bishop Sylvester Gamanywa (kulia) na mashehe

Meza kuu ikifurahia jambo baada ya futari

Meya wa jiji la Dar es salaam Dkt Didas Masaburi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo wakiwa na waalikwa wenzao kwenye futari hiyo

Sehemu ya waalikwa

Wazee Mashuhuri wa mkoa wa Dar es salaam mezani pao

Mufti wa Tanzania Sheikh Shaaban Issa Simba akiongoza dua baada ya futari

Sehemu ya waalikwa kwenye futari hiyo

Rais Kikwete akiagana na mmoja wa wazee mashuhuri wa Mkowa wa Dar es salaam

Rais
Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal na Waziri Mkuu Mizengo
Pinda wakisalimiana na waalikwa baada ya kufuturu pamoja

Rais Kikwetena Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakisalimiana na waalikwa

Rais Kikwetena Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na waalikwa baada ya futari

Rais Kikwete akisalimiana na mchora katuni maarufu Ali Masoud 'Kipanya' huku Mrisho Mpoto akisubiri zamu yale

Rais Kikwete akifurahi pamoja na waalikwa wenzie

Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wazee mashuhuri wa Dar es salaam

Rais Kikwete akisalimiana na mwanamuziki Christian Bella

Rais Kikwete akisalimiana na mwanahabari mkongwe Bw. Mwondosha Mfanga

Rais Kikwete akisalimiana na mwanamuziki nyota wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz

Rais Kikwete akiongea na Mwana FA

Rais Kikwete akisalimiana na mtayarishaji, Muongozaji na mwigizaji nyota wa filamu Kulwa Kikumba 'Dude
![]() |
Rais Kikwete akiendelea kusalimiana na waalikwa wenzie |

Mkono
wa mwisho ni wa mtoto huyu aliyepata bahati ya kuagana na Rais Kikwete
na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali baada ya futari
No comments:
Post a Comment