
Msanii wa maigizo Elizabeth Diana Michael aka Lulu jana jioni
aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza
Meeda na kujumuika nao kwenye #Futari iliyo andaliwa na msanii huyo..
Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu
mbali mbali... Mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan amesema
wamefarijika sana kuona Lulu amewakumbuka.
Watoto wakipakua futari

Mama Kanumba nae alikuwepo
Dr Cheni akipata futari

Lulu akiwa na mmoja wapo wa mtoto wa kituo hicho

Lulu na mama Kanumba wakiteta jambo

Lulu na mdogo wake Eric

Lulu akikabidhi msaada

Mama mlezi wa watoto hao Bi. Saida Hassan akizungumza na Lulu. Picha na Bestizzo
No comments:
Post a Comment