ELIMU YETU :Mh. Ndugulile akabidhi madawati 650 kwa Shule 12 Tarafa ya Mbagala - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 31 July 2014

ELIMU YETU :Mh. Ndugulile akabidhi madawati 650 kwa Shule 12 Tarafa ya Mbagala


Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akiwahutubia wazazi na wanafunzi wanaotoka katika shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala kabla ya kuzikabidhi shule hizo jumla ya madawati 650 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 69,makabidhiano yaliyofanyika katika shule ya sekondari Mbagala. Kwa Maelezo Zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment