WIMBO MPYA WA DIAMOND : DIAMOND PLATNUMZ ATOA WIMBO MPYA (AUDIO) UNAITWA MDOGO MDOGO , SOMA MASHAIRI YAKE HAPA - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


19 Jun 2014

WIMBO MPYA WA DIAMOND : DIAMOND PLATNUMZ ATOA WIMBO MPYA (AUDIO) UNAITWA MDOGO MDOGO , SOMA MASHAIRI YAKE HAPA


Ilitoka awali kama kitorondo kwa kiwango kibovu sana, Diamond aliongea na sammisago.com na kusema kuwa wimbo ulivuja na kuwa hauitwi kitorondo. Hii ndio kazi halisi inaitwa Mdogo Mdogo imetengenezwa na Tudd Thomas.

MDOGOMDOGO LYRICS 
Verse 1 
Nimetembea tembea Bara na visiwani... ila nikajionea we ndio my Number one.. Natamani nikupe ila sina nimejaliwa upendo heshima.. Maneno yao matamu yasikuibe mama.... si unajua binadamu wabaya sana... Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2) usije niacha kwa unyonge nachechemea... Utamu wa finyango na tonge ukanielemea... Usije niacha kwa Unyonge nachechemea... Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu... 

Chorus 
Mwendaazimu kaingiaje! (Asije kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Kitorondo kitorondo eeh) Mwendaazimu kaingiaje! (Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oooh Kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje! 
 
Verse 2 
Kidogo nikileta Mumypti usinune.. Nikumbatie unikiss nijivune.. Kesho nizidishe ufanisi nijitumee.. Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee.... Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga... Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga... Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah! ( ×2) Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2) Ukaanza safari, Mchana juakali, Usiku haulali Aah yaya..! 
Chorus
 Mwendaazimu kaingiaje! (Asije kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Kitorondo kitorondo eeh) Mwendaazimu kaingiaje! (Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oooh Kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje! (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje! 
{Bridge} 
Mdogomdogo Mdogomdogo (Usijali mama) Mdogomdogo (We wacha waongee) Mdogomdogo (Usiku na mchana) Mdogomdogo (Mpaka wanyongee) Mdogomdogo (Na ntakupenda sana) Mdogomdogo (Mahaba ninyongee) Mdogomdogo (sijali lawama) Mdogomdogo (acha wanizonge) Mdogomdogo (kachirikachiri) Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu) Mdogomdogo (mwenzako taabani) Mdogomdogo (nilindie roho yangu) Mdogomdogo (wasije wa furani) Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu) 
Ending Chorus 
Mwendaazim kaingiaje Mwendaazim kaingiaje Mwendaazim kaingiaje Mwendaazim kaingiaje Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo) Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo) Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo) Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)"

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad