MOTO WAUNGUZA KILA KITU :MOTO WATEKETEZA SOKO LA KARUME [MACHINGA COMPLEX] DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 12 June 2014

MOTO WAUNGUZA KILA KITU :MOTO WATEKETEZA SOKO LA KARUME [MACHINGA COMPLEX] DAR ES SALAAM


Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.

No comments:

Post a Comment