MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO :HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA SOKO LA ILALA ,MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Jun 2014

MOTO ULIVYOTEKETEZA SOKO :HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA SOKO LA ILALA ,MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO


 Kazi ya kuzima moto ikiendelea.
 Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
 Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku jitihada mbali mbali za kuuzima moto huo zikiendelea.
 Baadhi ya wafanyabiashara na mashuhuda wa tukio hilo wakiangalia huku wakiwa hawajua la kufanya,maana mali zote zimeteketea kwa moto huo.
 Soko loote limeteketea kwa moto huo.
 Sehemu ya wafanya Biashara wa soko hilo,wakimuangalia mmoja wa wamachinga akipanga nguo kwenye kibanda chake alichokuja nacho huku wenzie wakiendelea kusikilizia machungu ya kuunguliwa na mali zao.
 Mijadala ya hapa na pale huku moto ukiendelea kuwaka. Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad