MICHEZO YETU ,RIADHA: BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAFANYIKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Tuesday, 24 June 2014

demo-image

MICHEZO YETU ,RIADHA: BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAFANYIKA

02
 Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akihutubia wakati akifungunga mashindano ya Bagamoyo Marathon mjini Bagamoyo.
20140622_093848Washiriki wa Bagamoyo  Marathon 2014  mara baada ya kumaliza mbio hizo ambazo kwa wanariadha wengine walikuwa bado wanawasili.
03
 Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akimpongeza mshindi wa mbio za kilomita 21 wanaume, Ismail Juma. Wengine ni baadhi ya washindi na viongozi wa Kampuni ya 4Beli iliyoratibu mashindano hayo ya Bagamoyo Marathon 2014. Chanzo : Matukio tz
04
 Mwakilishi wa Kampuni ya 4Beli akitoa zawadi kwa mmoja wa washiriki wa mashindano.
05
 Mwakilishi kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) ambao walikuwa mmoja wa walidhamini wa mashindano hayo akitoa zawadi kwa washindi.Chanzo : Matukio tz
06
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda Akikabidhi Zawadi kwa Mshindi
07
Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Michezo la Taifa  Kanali mstaafu  Idd Kipingu akimpongeza Mshindi wa Bagamoyo
08
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda
20140622_093316
Picha ya Pamoja ya Washiriki   Kutoka Kushoto Eligi Albert,Evance Mosha na Thomas Karia Mara baada ya Kumaliza Mbio za KM 10.Chanzo : Matukio tz

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *