MFUKO WA JAMII, PSPF :MFUKO WA PSPF WAMALIZA WIKI YA UTUMISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 June 2014

MFUKO WA JAMII, PSPF :MFUKO WA PSPF WAMALIZA WIKI YA UTUMISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
 Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud akimkaribisha Bi, Veronica Nyambajo wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyomalizika jumatatu hii
 Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud aki muhakiki mteja Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizer kulia akimpatia maelekezo Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma. Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kulia akimpatia mahelezo katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue alipotembeleabanda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii

No comments:

Post a Comment