WANAWAKE WANAWEZA :BANG MAGAZINE YASHEREHEKEA MIAKA 10 YA KUANZISHWA KWAKE ,JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 23 June 2014

WANAWAKE WANAWEZA :BANG MAGAZINE YASHEREHEKEA MIAKA 10 YA KUANZISHWA KWAKE ,JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu Wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akitoa Historia fupi ya Gazeti kwenye sherehe za miaka 10 ndani ya Escape One
Mkurugenzi Mkuu wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akimkabidhi zawadi ya kushukuru mchango wa Mmoja wa Wadau wa Bang Magazine
Mkurugenzi wa Bang Magazine akiendelea kutoa zawadi kwa wadau wakubwa wa Bang Magazine
Mkurugenzi mkuu wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akimkabidhi mwakilishi toka Airtel Tanzani Zawadi ya shukrani kwa kuwa Wadau wao wakubwa kwa miaka 10
Mrembo Kutoka Bang Magazine Akafungua Shampeni kwa Furaha kuadhimisha miaka 10 ya Bang Magazine.
Keki nzuriii ya Miaka 10 ya Bang Magazine
Mkurugenzi mkuu wa Bang Magazine akikata Keki kwa Furaha Kusheherekea miaka 10
Kwa  Furaha kubwa Kabisa Mkurugenzi mkuu Emelda Mwamanga Akimlisha Keki Mfanyakazi wake kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine
Mkurugenzi mkuu naye akapata Nafasi ya kulishwa Keki na Mwenzake
Cheeeeers Kwa miaka 10 Ya Bang Magazine
Ni Furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10,tumetoka mbali sana

No comments:

Post a Comment