Mazishi yamefanyika saa 9 alasiri.
| Baadhi ya viongozi walikuja kuhani msiba wa mama yake mzazi na Mhe. Zitto Kabwe |
| Mwili wa mama yake na Mh. Zitto Kabwe ukiwekwa chini |
| Baadhi ya waombolezaji wakilia kwa uchungu |
| Baadhi ya viongozi wakimpa pole Mhe. Zitto Kabwe |
| Mhe. Zitto kabwe katika hali ya majonzi kwa kufiwa mama mzazi Bi. Shida Salum |
| Sehemu alimozikwa mama mzazi wa Mhe. Zitto Kabwe |
Blogu ya Wazalendo 25 Blog ina mpa Pole sana Mheshimiwa Mbunge wa Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe kwa kufiwa na mama yake mzazi, Mungu ailaze roho ya mama Zitto Kabwe mahali Pema. Amen


No comments:
Post a Comment