Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Orkesumet
ambapo pia alitoa salaam za pole kwa niaba ya chama cha Mainduzi kwa
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata kwa kufiwa na
Baba yake pamoja na Mbunge wa Chadem Ndugu Zitto Kabwe kwa kufiwa na
Mama yake.
Mbunge
wa Jimbo la Simanjiro Ndugu Christopher Ole Sendeka akihutubia wakazi
wa Orkesumet ambapo alihawakikishia kuwa maendeleo kwenye jimbo hilo
yanafanyika kwa kasi kubwa na kusisitiza kuwa wale wote waliovamia
maeneo ambayo siyo yao watanyang'anywa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua gari la mradi wa
kukodisha la kikundi cha Vicoba Mkombozi, Kikundi hicho kina wanachama
30 .
Jengo la Mama na Mtoto la kituo cha Afya Orkesumet,Simanjiro.
Bohari ya Dawa ya Kituo cha Afya Orkesumet,Simanjiro.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Daktari Juma Nahonyo
wakati wa ukaguzi wa jengo litakalo kuwa bohari ya Dawa katika kituo cha
Afya cha Orkesument.
Bango linaloonyesha huduma na taratibu zake la kituo cha afya cha Orkesumet.
No comments:
Post a Comment