BOMOA BOMOA JIJINI DAR :ANGALIA PICHA KITUO CHA MWENGE KILIVYOBOMOLEWA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Tuesday 3 June 2014

BOMOA BOMOA JIJINI DAR :ANGALIA PICHA KITUO CHA MWENGE KILIVYOBOMOLEWA

Katapila liki bomoa kituo cha Mwenge
 Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
 Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa
 Ulinzi ukiwa umeimarishwa
 Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge
 Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea
 Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea
 Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
 Mabaki ya Vibanda
 Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka eneo husika Tayari kwa kuzikusanya kuzipeleka eneo husika
 Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea
 Mashuhuda wakiongezeka
 Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara

 Bomoa Bomoa ikiendelea upande wa Juu Mwenge
 Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
 Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa

 Mashuhuda upande wa Juu Mwenge
 Ulinzi ukiwa umeimarishwa kila sehemu
 Hapa ilitaka kutokea Shoti ya Umeme Baada ya gari la kubomoa kupita sehemu ambayo kuna waya wa umeme, TANESCO hawajazima umeme eneo hilo jambo ambalo ni Hatarishi.
Hali Halisi baada ya eneo hilo kubomolewa
Picha na Dar es salaam yetu Blog

No comments:

Post a Comment