MAZISHI YA MWANDISHI NGULI :SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 28 May 2014

MAZISHI YA MWANDISHI NGULI :SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE


Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.

Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu Max.

Sehemu ya waombolezaji wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuaga mwili wa Marehemu Max.

Sehemu ya Wadau wa Habari waliohudhulia shughuli hiyo.

Ankal akiwa na baadhi ya wanamuziki waliofika kwenye mazishi hayo. Kwa picha zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment