Katika
Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini
Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa
moja kwa kazi yake.
Miaka
minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika
ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya
kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.
Akiwa
na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na
wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.Akizungumza kuhusu wateja wake
wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri.
Nafahamu nina mvuto sana."
Bi Vogel-Couple
CHANZO: BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment