KIMATAIFA :KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 27 May 2014

KIMATAIFA :KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO.


  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014. Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na
 Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

No comments:

Post a Comment