KATKOMEA NA MILIONI 5 :MARIAM (18) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KWA KUTOKOMEA NA TSH 5,000,000, HAPA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 27 May 2014

KATKOMEA NA MILIONI 5 :MARIAM (18) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KWA KUTOKOMEA NA TSH 5,000,000, HAPA ARUSHA

 Pichani Mariam au Mkaki Anayetafutwa na Jeshi la Polisi

 Mwanadada Mariam au Mkaki umri wa miaka (18) Mwenye RB no NG/RB/456/2014 ametokomea leo asubuhi na Shilingi Milioni tano (5,000,000)  alikuwa akiishi  Mtaa wa Kambi ya Fisi kata ya Ngarenaro, Kwa sasa anasakwa inasemekana ameelekea Dar es salaam au Morogoro  na Jeshi la Polisi kwa yeyote atakaye Muona atoe Taarifa kupitia namba 
+255 784700511 au +25575700511

No comments:

Post a Comment