TANZANIA NATIONAL PARK :TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI, JIJINI MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 27 May 2014

TANZANIA NATIONAL PARK :TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI, JIJINI MWANZA

Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi ya Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali ya habari nchini linalofanyika jijini Mwanza.









Mgeni rasmi katika kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchi ,katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii ,Maimuna Tarishi akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa kongamano hilo linalofanyika jijini Mwanza.
Kushoto ni Bw. Charles Ole Ngereza na Adam Ihucha katika ufunguzi wa kongamano hilo

Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia hotuba pamoja na mijadala mbalimbali inayo endelea katika kongamano hilo.


No comments:

Post a Comment