Rais
mstaafu wa awamu wa tatu Mh. Benjamin Mkapa amefanya ziara kutembelea
shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa
la uhifadhi wa wanyamapori la African Wildlife Foundation (AWF) Wilayani
Monduli. Mzee Mkapa ni Makamu Mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao
yake makuu mjini Washington Marekani. picha mbalimbali zinamuonesha Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais
Mkapa kuzuru shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza Mzee Mkapa
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akiagana na Mzee Mkapa. Picha zaidi bofya hapa rweyemamu info blog
No comments:
Post a Comment