Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya
Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe za uzinduzi
wa vikundi hivyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live huko Mbagala
Rangi tatu jijini Dar es salaam.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete aksalimaian na baadhi ya wanachama wa UWAMBA na Wananchi
wa Mbagala wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja huo
Mwenyekiti
wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali
zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi wa kikundi
cha huko Mbagala
Mwenyekiti
wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali
zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi wa kikundi
cha huko Mbagala
Wanachama
wa UWAMBA wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma
Kikwete wakati wa sherehe ya uzinduzi wa umoja wao huko Dar Live Mbagala
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa
vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye
ukumbi wa Dar Live
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi
rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa uzinduzi rasmi
Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa
Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya
UWAMBA mara tu baada ya kuzindua rasmi Umoja huo huko Mbagala
Mwenyekiti
wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaidiana na Mama Tabu
Likoko kutoka WAMA, wakimkabidhi Mwenyekiti wa UWAMBA, Mama Zenna Hanga
moja ya charahani walizozitoa kwa umoja huo wakati wa sherehe za
uzinduzi huko Mbagala. Picha na John Lukuwi
No comments:
Post a Comment