WAALIMU WA AJIRA MPYA: WAALIMU WA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KWENYE AJIRA MPYA WARIPOTI KAZINI, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 4 April 2014

WAALIMU WA AJIRA MPYA: WAALIMU WA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KWENYE AJIRA MPYA WARIPOTI KAZINI, JIJINI ARUSHA

Mwl. Daniel Urioh akiwa na mwalimu mwenzake ndani ya Ukumbi wa Mikutano akisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa JIJI LA ARUSHA
Waalimu walioripoti kazini wakisubiri kufundwa na Afisa Utumishi wa Jiji la Arusha.

Waalimu walioripoti kazini wakisubiri maelekezo toka kwa Afisa Utumishi wa Jiji la Arusha.

Waalimu walioripoti kazini wakiwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa wamepangiwa katika shule gani ndani ya Jiji la Arusha.

No comments:

Post a Comment