Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Karatu mchungaji Israeli
Natse(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe(Wapili
kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na Mkurugenzi wa
Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuu wa TRA Bwana
Abubakari Kunenge(wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA
Mkoa Bi.Caroline Ntuku(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato Wilaya ya Karatu mjini Karatu.
No comments:
Post a Comment