HAYAWI HAYAWI YAMEKUA: MTAYARISHAJI WA MUZIKI NA MMILIKI WA BONGO RECORDS P FUNK (MAJANI) AFUNGA NDOA NA HIDAYA MTOTO WA JIJINI LA ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 23 April 2014

HAYAWI HAYAWI YAMEKUA: MTAYARISHAJI WA MUZIKI NA MMILIKI WA BONGO RECORDS P FUNK (MAJANI) AFUNGA NDOA NA HIDAYA MTOTO WA JIJINI LA ARUSHA.


Bwana harusi akimvisha mkewe pete
Hidaya mtoto wa Arusha aliyebahatika kuuteka moyo wa P Funk  akimvisha pete mume wake
Mashallah Mr & Mrs Majani 
Mrs Majani a.k.a Hidaya akiwa na kichuna chao Parveen
 Maharusi mara baada ya kufunga ndoa yao. Picha zaidi bofya hapa JESTINA GEORGE.com

No comments:

Post a Comment