TANZIA : MAMA YAKE NA MTANGAZAJI WA (TBC1) ANGELLA MSANGI KUZIKWA LEO ,ZINGA-BAGAMOYO MKOANI PWANI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Apr 2014

TANZIA : MAMA YAKE NA MTANGAZAJI WA (TBC1) ANGELLA MSANGI KUZIKWA LEO ,ZINGA-BAGAMOYO MKOANI PWANI


Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu Mama Misheli Singoye anatazikwa Leo Jumatano Aprili 30, 2014 ambapo ibada itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni na baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi, Bagamoyo Pwani.
Marehemu Mama Misheli Singoye alifariki Aprili 26, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa.

Blogu ya Wazalendo 25 Blog inakupa pole wewe Angellah Msangi pamoja na Familia yako. BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad