Wataalam kutoka sehemu mbalimbali wakiwa kwenye picha ya kwanza mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya namna ya uandishi bora wa taarifa za kina (thematic reports) zinazotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, ambapo mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa SG Northern Resort uliopo Jijini, Arusha.
SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI NCHINI
-
*Na. Mwandishi Wetu, Mwanza*
*Serikali imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini
kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa s...
14 hours ago

No comments:
Post a Comment