MICHEZO : JKT OLJORO YAWABAMIZA TANZANIA PRISONS KWA GOLI 2 -1 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 April 2014

MICHEZO : JKT OLJORO YAWABAMIZA TANZANIA PRISONS KWA GOLI 2 -1

 Wachezaji wa timu ya JKT Oljoro wakifurahia goli la pili lililofungwa na Shija Mkina katika dakika ya 88, mpira huo uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini,Arusha.
 Furaha ya goli, hasa ukiwa uwanja wa nyumbani...
 JKT OLJORO ni moto wa kuotea mbali...
Mashabiki wa mpira jiji Arusha wakitawanyika baada ya mpira kati ya Tanzania Prisons ya Mbeya na JKT Oljoro ya Arusha ilivyopambana katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha. ambapo JKT ilitoka kifua mbele kwa kuwafunga 2-1 tarehe 6/4/2014.

No comments:

Post a Comment