CHADEMA ARUSHA :MBUNGE WA ARUSHA MHE. GODBLESS LEMA AHUTUBIA WANANCHI KATIKA VIWANJA VYA LEVOLOSI,JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Friday, 25 April 2014

CHADEMA ARUSHA :MBUNGE WA ARUSHA MHE. GODBLESS LEMA AHUTUBIA WANANCHI KATIKA VIWANJA VYA LEVOLOSI,JIJINI ARUSHA

Mdau na Diwani mtarajiwa wa Olasiti Mwl. Daniel Urioh akisikiliza kwa Heshima na Umakini Mkubwa Hotuba ya Mh.Gobless Lema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini,katika viwanja vya stand ya Samunge jirani na Hospitali ya Levolosi.
UMATI WA WATU waliokuwa wakisikiliza mkutano wa Mbunge wa Arusha Mjini Bw. Godbless Lema katika viwanja vya Levolosi Jijini Arusha.Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa Daniel Urioh Blog
 
 




No comments:

Post a Comment