BLOGGER AFUNGA PINGU ZA MAISHA: MMILIKI WA BLOG YA KAJUNASON BLOG AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA ESTHER ULAYA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Friday, 25 April 2014

BLOGGER AFUNGA PINGU ZA MAISHA: MMILIKI WA BLOG YA KAJUNASON BLOG AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA ESTHER ULAYA


 Cathbert Kajuna na dada Ester Ulaya hatimaye wamefunga pingu za maisha. Maharusi wote  Mungu awape neema na baraka katika maisha yenu ya ndoa.

Hapa wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.

Kajuna najua hapa presha ilikuwa inapanda na kushuka. Hongera sana kaka.
 Blogu ya Wazalendo 25 Blog Inakupongeza sana Cathbert Kajuna kwa kuuaga ukapera, karibu Jamvini.

No comments:

Post a Comment